Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Manchester United katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London baada ya …
Arsenal
-
-
Klabu ya Manchester United imekubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Aston Villa katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Villa Park nchin humo. Mpaka kufikia …
-
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na alama tatu katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Stamford Bridge na kufanikiwa …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuifunga Arsenal 3-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford ambapo mabao ya Antony pamoja na Marcus Rashfod yalitosha kuchukua alama …
-
Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Man united katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London. Arsenal waliandika bao …
-
Ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Emirates klabu ya Arsenal imeshindwa kuvuna alama katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa vijana …
-
Kinda wa Arsenal Eddie Nketia ameiongoza Arsenal kufuzu nusu fainali ya kombe la ligi maarufu kama carabao cup baada ya kuwachakaza Sunderland kwa kipigo kikubwa cha 5-1 usiku wa kuamkia …
-
Klabu ya Manchester united imefikia makubaliano ya kiasi cha paundi milioni 10 na Marseille kwaajili ya kumchukua kiungo mkabaji Boubacar Kamara.Huo utakuwa usajili wa kwanza kwa kocha mpya wa muda …
-
Licha ya kuwa ugenini klabu ya Arsenal imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Manchester united katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa katika uwanja wa Old Trafford jijini …
-
Taarifa zinaeleza kuwa Sergio Agüero hatokabiliwa na hatua yoyote ya adhabu kwa kuweka mkono kwenye bega la kushoto la mwamuzi msaidizi Sian Massey-Ellis wakati wa ushindi wa Manchester City dhidi …