Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Yanga sc imeyaaga mashindano hayo baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo hii leo dhidi ya Azam fc. Changamoto ya mikwaju …
azamfc
-
-
Miamba ya soka Tanzania Bara Yanga na Azam fc wanatarajia kumenyana katika mechi kali ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar. Baada ya ushindi wa 5-1 dhidi …
-
Miamba mitatu ya soka nchini Tanzania vilabu vya Simba,Yanga na Azam vimefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea huko visiwani Zanzibar. Azam walio kundi A …
-
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc imeendelea rekodi nzuri ya ushindi dhidi ya waoka mikate Azam fc pindi timu hizo zinapokutana. Katika mchezo uliofanyika Jumamosi hii …
-
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc IbrahimAjibu Migomba amejiunga na matajiri wa Jiji la Dar es salaam Azam Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja kuwatumikia waoka mikate hao wa Chamazi. Taarifa …
-
Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita pasipo kufungwa wala kutoa sare ya kufungana. Kikosi hicho …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
Azam Fc imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Octoba 12,uwanja wa Azam Complex. Bao la kwanza kwa Azam lilipachikwa na …
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Azam Fc iliyo chini ya kocha mkuu,Aristica Ciaoba imepania kuupata ubingwa wa ligi kuu bara msimu huu wa 2020/2021 baada ya kujua mapungufu yao yapo wapi na kuyafanyia marekebisho. Klabu …