Klabu ya Singida Big Stars imemtambulisha rasmi kocha wao mpya Ricardo Ferreira kutoka nchini Brazil ambaye anakuja kuchukua nafasi ya kocha Enrst Middendorp ambaye aliamua kujiuzuru ghafla kuifundisha timu hiyo. …
brazil
-
-
Kufuatia kufungwa na Crotia na kuondolewa katika michuano ya kombe la Dunia linaloendelea nchini Qatar kocha wa timu ya Taifa ya Brazil Adenor Leonardo Bacchi maarufu kama Tite ameamua kujiuzuru …
-
Timu ya taifa ya Brazil imefanikiwa kuibuka na alama tatu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Serbia katika mchezo uliofanyika usiku na kuhudhuriwa na mashabiki wengi waliokua na …
-
Staa wa timu ya taifa ya Brazil na mashambuliaji wa klabu ya Liverpool Roberto Firmino ameachwa katika kikosi cha wachezaji 26 kilichotangazwa na kocha wa timu hiyo Tite alitaja mastaa …
-
Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa …
-
Gerson Fraga Vieira wa Simba Sc ambaye pia ni raia wa Brazil ameufurahia usajili wa kiungo kutoka Lusaka Dynamosi iliyoko Zambia,Larry Bwalya kutokea kwani ni miongoni mwa usajili bora ambao …
-
Mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona,Lionel Messi bado yupo kwenye harakati za kuwashawishi viongozi wa klabu yake kuipate saini ya mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil,Neymar …
-
Kufuatia kipigo cha mabao 2-1 walichokutana nacho simba sc dhidi ya Kmc hapo jana katika uwanja wa Chamazi baadhi ya wadau wa soka wamehoji kuhusu viwango vya wachezaji kutokana Brazil …
-
Staa wa zamani wa Manchester united Anderson Oliveira amestaafu kucheza soka la ushindani akiwa katika klabu ya Adama Demirspor inayoshiriki ligi daraja la pili nchini uturuki. Staa huyo mshindi wa …
-
Katika kukiimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara na michuano ya kimataifa timu ya Simba sc imemsaini mchezaji mwengine kutoka nchini Brazil na kufikisha idadi ya …