Kipa wa klabu ya Simba Sc Moussa Pinpin Camara ameanzia benchi katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia mwaka 2026 baina ya Taifa lake Guinea dhidi ya …
caf
-
-
Uongozi wa klabu ya Simba Sc unafanya mawasiliano ya karibu na shirikisho la mpira nchini (TFF) ikiwezekana wachezaji wao walioko katika majukumu ya timu ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya …
-
Nyota wa Aalborg BK ya Denmark Kelvin John tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imekita kambi ya maandalizi kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la …
-
Msemaji mkuu wa Serikali na Katibu mkuu wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mh.Gerson Msigwa amesema uwanja wa Benjamin Mkapa uko tayari kwa ukaguzi wa wa Shirikisho la …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limeamua kuufungia uwanja wa Benjamini Mkapa kutokana na sehemu ya kuchezea ya uwanja huo kutokua na ubora unaohitajika kwa mujibu wa viwango vya ubora …
-
Klabu ya Simba Sc imeanzisha kampeni maalumu yenye lengo la kukusanya kiasi cha Shilingi milioni mia moja ambazo zitatumika kulipa faini kwa Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) baada ya …
-
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limesogeza mbele michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) iliyokua inatarajiwa ianze kutimua vumbi kuanzia 01 Februari 2025 hadi 28 Februari …
-
Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba kucheza mechi moja ya CAF bila mashabiki na kulipa kiasi cha dola 40,000 sawa na Tsh milioni 101 kutokana na vurugu …
-
Klabu ya soka ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kupata sare ya 1-1 dhidi ya timu ya …
-
Klabu ya Tp Mazembe imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya MC Alger kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kundi A uliofanyika nchini …