Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari,Sanaa na Michezo ambayo kwa sasa inaongozwa na Waziri Mh.Pro Paramangamba Kabudi imetoa taarifa rasmi ya kulaani uharibifu wa miundombinu …
cafcc
-
-
Bao la ushindi la dakika ya 90+7″ lililofungwa na Kibu Dennis limezua tafrani baada ya kuipatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Cs Sfaxien ya nchini Tunisia katika mchezo wa …
-
Klabu ya Simba Sc imeendelea kuuheshimisha uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi ya …
-
Klabu ya Simba Sc imesalia kileleni mwa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini huku ligi hiyo ikisimama kupisha michuano ya kimataifa kwa wiki mbili mpaka Novemba 20. Tayari mastaa …
-
Klabu ya Simba Sc imepangwa katika kundi A la michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika katika droo iliyofanyika nchini Misri katika makao makuu ya Shirikisho la Soka barani Afrika …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kuifunga 3-1 Klabu ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika mchezo uliofanyika katika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Klabu ya Cbe SA ya nchini Ethiopia katika mchezo wa marudiano wa hatua ya pili ya michuano …
-
Timu ya Al Ahli Tripoli ya nchini Libya tayari imewasili salama jijini Dar es Salaam kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Simba SC mchezo utakaofanyika katika Uwanja wa Benjamin William …
-
Kufuatia kupata Suluhu dhidi ya Klabu ya Simba Sc katika mchezo wa kwanza wa hatua ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika mastaa wa klabu ya Al …
-
Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis amesema kuwa amejipanga kumaliza mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi Al ahly Tripol ya …