Shirikisho la soka nchini imeamua kuvifungia viwanja vya CCM Kirumba,Jamhuri Pamoja na CCM Liti uliopo mjini Singida kutokana na kuwa na miundombinu iliyochakaa kwa mujibu wa kanuni na leseni za …
ccm kirumba
-
-
Klabu za Simba sc na Azam Fc zimeshindwa kuamua nani mbabe baina yao baada ya kukubali sare ya 1-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa CCM …
-
Klabu ya Simba sc imeuhamishia mchezo wa kiporo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza ambapo unatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa februari 9 …
-
Matokeo ya sare ya 1-1 waliyopata klabu ya Simba sc katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Geita Gold Fc yamezidi kufifisha matumaini ya ubingwa wa ligi kuu kwa …
-
Klabu ya Geita Gold Fc imetangaza kuwa mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Simba sc utafanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza badala ya ule wa Nyakumbu mkoani …
-
Muuaji Fiston Kalala Mayele ameendeleza moto wake wa kuzifumania nyavu baada ya kufunga bao katika ushindi wa bao 1-0 iliopata klabu yake ya Yanga sc dhidi ya klabu ya Geita …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga sc mapema asubuhi ya leo kimeondoka jijini Dar es salaam na kutua jijini Mwanza kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold Fc utakaofanyika …
-
Mikoa miwili ya Mwanza na Dar-es-salaam ndiyo iliyoteuliwa kutumika kwa ajili ya kumalizia ligi za soka msimu wa 2019/2020. Ligi kuu ya Vodacom na kombe la shirikisho la Azam Sports …