Azam Fc imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa jana Octoba 12,uwanja wa Azam Complex. Bao la kwanza kwa Azam lilipachikwa na …
chamazi
-
-
Azam Fc ambao ni vinara wa kigi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL) itakuwa na mchezo wa kirafiki leo Octoba 12,dhidi ya Fountain Gate SC . Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa …
-
Tunombe mukoko ameiongoza Yanga Sc kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana katika uwanja wa Azam Complex uliopo …
-
Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege Fc kutoka visiwani Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es salaam. …
-
ALAIN Thiery kutoka nchini Cameroon amejifunga kwa miaka miwili ndani ya Azam FC yenye makazi yake Chamazi leo Agosti 24. Mshambuliaji huyo amesaini dili hilo akiwa kama mchezaji huru aliyemaliza …
-
Mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zenye mechi za viporo na kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za …
-
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ leo imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA uwanja wa Chamazi kwa ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya Sudan Kusini. Mchezo huu …
-
Mshambuliaji wa Azam fc Donald Ngoma leo ameisaidia klabu yake ya Azam fc kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya ndanda fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Azam …
-
Klabu ya Azam fc imeamua kumuongezea mkataba mpya mshambuliaji wake mpya raia wa Ivory coast Richard Djodi baada ya kukoshwa na kiwango chake alichokionesha hivi karibuni. Staika huyo aliyesajiliwa kutoka …
-
Timu ya Kmc imetolewa katika kombe la shirikisho barani Afrika(Caf) baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya As Kigali katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa chamazi …