Coastal Union
coastal union
-
-
Kwa mara nyingine tena, jina la Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji limeibuka kwenye vichwa vya habari vya soka nchini Tanzania. Safari hii si kwa sababu ya Simba SC – …
-
Klabu ya Coastal Union yenye makao yake jijini Tanga inapiga hesabu kali za kumchukua aliyekuwa kocha wa Tabora United Anicet Kiazayidi kushika nafasi ya Joseph Lazaro msimu ujao. Wagosi wa …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Sc Selemani Matola amekiri kuwa timu yake ya Simba Sc itakutana na mchezo mgumu itakapowavaa Singida Black Stars katika mchezo wa ligi kuu ya …
-
Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa klabu ya KenGold Fc Kiala Lassa ambaye amesajiliwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na klabu …
-
Klabu ya Coastal Union hatimaye baada ya michezo mingi ya ligi kuu ya Nbc nchini leo imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc …
-
Kocha Juma Mwambusi ameachana na klabu ya Coastal Union kwa makubaliano ya pande mbili baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu ya Nbc nchini. …
-
Klabu ya soka ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga imekabidhiwa basi jipya aina ya Youtong na benki ya biashara ya Nbc nchini kwa ajili ya kurahisisha safari zake …
-
Nyota wa kimataifa wa Kenya Abdallah Hassan ameachana na klabu ya Coastal Union baada ya kufikia makubaliano ya Pande zote mbili. Mshambuliaji huyo aliyesajiliwa wakati wa dirisha dogo la usajili …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho nchini baada ya kuifunga timu ya Coastal Union kwa mabao 3-1 katika mchezo wa …