Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Crispin Ngushi amejiunga na klabu ya Coastal Union kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu huu baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha …
coastal union
-
-
Kiungo wa Yanga Sc Khalid Aucho amefungiwa mechi tatu na faini ya laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko nyota wa Coastal Union Ibrahim Ajibi katika mchezo wa Ligi Kuu …
-
Goli la dakika ya 71 la Clement Mzize limefanikiwa kuiokoa Yanga sc na kupata alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani …
-
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi amesema kuwa kikosi cha timu hiyo kiko tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaofanyika kesho …
-
Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klab ya Coastal Union ni kwamba uongozi wa klabu hiyo umefikia makubaliano rasmi ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu raia wa Congo DRC, …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Jean Baleke amepeleka kilio katika klabu ya Coastal union baada ya kufunga mabao matatu katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa uhuru …
-
Klabu ya Simba sc itaendelea kutumia uwanja wa uhuru kama uwanja wake wa nyumbani katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaofanyika kesho Septemba 21. Awali kulikua na …
-
Golikipa Ley Matampi raia wa Congo Drc mwenye umri wa miaka 34 ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Coastal Union mara baada ya kuwa ametangazwa kuwa mchezaji mpya wa …
-
Klabu ya Coastal Union imetangaza kukamilisha usajili wa Ibrahim Ajibu ambaye alikua ni mchezaji huru baada ya kutemwa na klabu ya Singida Fountain Gate alipojiunga akitokea katika klabu ya Azam …
-
Kabu ya Coastal Union inaangalia uwezekano wa kumchukua mmoja kati ya Juma Mgunda ama Abdihamid Moalin kuja kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya kuachana na benchi lake la …