Edgar Ajiunga na Dodoma Jiji Fc
Dodoma jiji Fc
-
-
Tabora United
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Dodoma Jiji Fc baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Dodoma Jiji Ibrahim Ajibu amesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo sambamba na golikipa wa klabu hiyo Allan Ngereka kwa utovu wa nidhamu kambini. Kwa mujibu …
-
Uongozi wa klabu ya Dodoma Jiji Fc uko katika mazungumzo ya kumuongezea mkataba mpya mshambuliaji nyota wa kikosi hicho, Paul Peter, baada ya alionao sasa kufikia tamati mwishoni mwa msimu …
-
Mshambuliaji wa timu ya Dodoma Jiji Fc Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina’a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Iraq akiungana na Mtanzania Simon Msuva anayekipiga katika timu ya …
-
Klabu ya soka ya Dodoma Jiji FC imeandika barua kwa bodi ya ligi [TPLB] kuomba mchezo wao dhidi ya Simba SC usogezwe mbele kutokana na baadhi ya mastaa wa klabu …
-
Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji Fc imepanga kwenda kuweka kambi maalumu ya mafunzo jijini Arusha ili kujiandaa na michezo ya duru ya pili ya ligi kuu ya Nbc nchini. …
-
Klabu ya soka ya Singida Black Stars imefanikiwa kupata alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma jiji katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ccm Liti mkoani Singida. …
-
Aliyekua kocha wa Ihefu Fc(Sasa Singida Black Stars) Mecky Mexime ametua rasmi katika klabu ya Dodoma Jiji Fc kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo kwa msimu wa ligi kuu wa …