Klabu ya Simba Sc imechukua alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Dodoma Jiji uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Simba …
Dodoma jiji
-
-
Klabu ya Dodoma Jiji Fc sasa imeingilia dili la mshambuliaji wa zamani Yanga, Heritier Makambo kutoka Al Murooj SC ya Libya ambaye alikua katika mchakato wa kurejea nchini kujiunga na …
-
Mabosi wa timu ya Dodoma Jiji Fc wamefikia makubaliano na aliyekuwa Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Mecky Maxime kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao wa ligi kuu …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc dhidi ya Dodoma Jiji uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini humo Mei …
-
Bao pekee la Mudathir Yahaya Abbas limeipa alama tatu Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es salaam dhidi ya …
-
Klabu ya Azam Fc imelazimishwa suluhu na klabu ya Dodoma Jiji Fc katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika usiku huu katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Azam Fc ikimkosa …
-
Akianza katika kikosi cha Simba sc kwa mara ya kwanza staa Jean Baleke aliifungia Simba sc bao pekee katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji Fc uliofanyika katika …
-
Kocha Masoud Djuma ametimuliwa katika klabu ya Dodoma Jiji Fc baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu nchini ikishinda mchezo mmoja pekee na kutoa sare michezo …
-
Klabu ya Dodoma Jiji Fc imekamilisha usajili wa kiungo Randy Bangala Litombo kutoka nchini Congo Drc ambaye anakuja kuongeza nguvu katika eneo la katikati mwa uwanja wa timu hiyo. Viongozi …
-
Kocha wa timu ya Dodoma Jiji Fc Masoud Djuma na mchezaji wa klabu hiyo Jamal Mtegeta wamefungiwa na bodi ya ligi kwa kosa la kupigana wakati wa mchezo ambapo adhabu …