Klabu ya Flamengo Fc ya nchini Brazil imefanikiwa kuifunga klabu ya Chelsea kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kundi D uliofanyika jana usiku Philadelphia nchini Marekani. Chelsea ilipata bao la …
FIFA
-
-
Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Kwa mujibu …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili salama nchini Morocco ambapo inatarajiwa kucheza siku ya jumatano na timu ya Taifa hilo kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia mwaka …
-
Nyota wa Aalborg BK ya Denmark Kelvin John tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imekita kambi ya maandalizi kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la …
-
Klabu ya Mtibwa Sugar imefungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (Fifa) kutokana na kutokamilisha malipo ya fedha za usajili za mchezaji Justin Ndikumana ambaye ilimsajili klabuni hapo msimu uliopita. …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa Fifa Series dhidi ya Mongolia uliofanyika nchini Azerbaijan na kukamilisha ratiba ya …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Morocco ametangaza kikosi  cha Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachokwenda Nchini Azerbaijan kwaajili ya Michezo ya FIFA Series 2024 itakayofanyika …
-
Klabu ya soka ya Singida Fountain Gate Fc imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Pascal Serge Wawa ambaye ilimtema mwanzoni mwa msimu huu bila kufuata utaratibu na kusababisha mchezaji …
-
Klabu ya Simba imefungiwa kusajili na shirikisho la soka Duniani (Fifa) mpaka itakapolipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mauzo ya mchezaji Pape Sakho yaliyofanyika wakati wa dirisha …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) kimeingia kambini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Sudan unaotarajiwa kufanyika siku ya Oktoba 18 ambapo mchezo huo …