Klabu ya soka ya Fountain Gate Fc yenye makazi yake wilayani Babati mkoani Manyara imemtimua kocha wake raia wa Kenya Robert Matano kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika ligi kuu ya …
Tag:
Fountain Gate Fc
-
-
Kocha Juma Mwambusi ana kazi ya kufanya baada ya kuishuhudia klabu yake ya Coastal Union ikikubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Fountain Gate Fc katika mchezo wa ligi kuu …
-
Imefahamika kuwa aliyekua mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Yusuph Athuman amejiunga na klabu ya Fountain Gate Fc yenye makazi yake Babati mkoani Manyara. Staa huyo ambaye sasa …
-
Timu ya Fountain Gate Fc imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Klabu ya Kmc Fc katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo mjini …