Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amechangia kiasi kikubwa kwa ghana kupoteza mchezo wa kwanza katika fainali za kombe la dunia zinazoendelea nchini Qatar akiisaidia Ureno kuibuka …
Ghana
-
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Augustine Okrah kutoka klabu ya Benchem Fc inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana ambapo Staa huyo tayari ametambulishwa klabuni hapo baada …
-
Timu ya Taifa ya Nigeria imeshindwa kufuzu kuelekea katika michuano ya kombe la dunia baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Ghana katika mchezo wa marudiano uliofanyika nchini Nigeria …
-
Bernard Morrison afunguka juu ya mkataba wake katika klabu ya Yanga sc baada ya taarifa kusambaa kuwa alisaini mkataba mpya wa miaka miwili kabla ya ule wa awali wa miezi …
-
Alfred Raul ambaye ni wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne amethibitisha kuwa Nyota huyo wa zamani wa Asante Kotoko ya Ghana atajiunga na Klabu ya Yanga …
-
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana mwenye miaka 26 akitokea Orlando Pirates ya nchini Afrika ya kusini. Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Appiah amemwita mlindamlango wa klabu ya Azam FC ya Tanzania,Razak Abalora kwenye kikosi cha timu yake kwa ajili ya mechi za kufuzu …
-
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya ghana Junior Agogo amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Staa huyo aliyeichezea ghana jumla ya mechi …
-
-Ni kiungo mapafu ya mbwa James Kotei -Aaga mashabiki kwa huzuni,akumbuka kuitwa wa “matopeni”
-
Baada ya kusikia James Kotei ana nafasi kubwa ya kutopewa mkataba na Simba sc baadhi ya viongozi wa Yanga sc wameanza kummendea mchezaji huyo ili aweze kuichezea timu hiyo mwakani. …