Kitendo cha kurejea kwa baadhi ya Mastaa wa Klabu ya Simba sc waliokua nje ya nchi huku pia kocha wa timu ya Azam fc Aristica Cioaba kimemkasirisha kocha wa Yanga …
GSM
-
-
Uongozi wa klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk.Mshindo Msolla,umeandaa jarida maalumu ambalo litakuwa linahusu mambo mbalimbali ya klabu . Jarida hilo lilizinduliwa Aprili 30 lenye kurasa 48 linalouzwa kwa …
-
Nahodha msaidizi wa Yanga,Juma Abdul amesema kuwa mdhamini wao GSM amewaongezea nguvu ya kufanya mazoezi wakiwa nyumbani kutokana na kupewa fursa ya kufanya manunuzi kwenye duka la michezo lililopo Mlimani …
-
Mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM Hersi Saidi amebainisha kwamba hivi karibuni klabu ya Yanga itasaini Mkataba wa ushirikiano na klabu moja kubwa kutoka nchini Hispania. Kwa mujibu wa injinia huyo …
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Jamhuri Kihwelu “Julio” ameipongeza kampuni ya Gsm baada ya kukubali kuendelea kuisaidia klabu ya Yanga baada ya kuandika barua ya kusitisha mambo …
-
Mkurugenzi wa uwekezaji kutoka GSM Eng. Hersi Said amekiri kuwa tayari kampuni ya GSM wamesaini mkataba na klabu ya Yanga Sc kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za klabu (Club Merchandise) …
-
Imezoeleka kwa vilabu vya hapa nchini, havisajili wachezaji wenye mikataba, mara nyingi husubiri mikataba ifike mwisho kisha kusajili wachezaji walio huru Hata hivyo Yanga kupitia wadhamini/wahisani wao GSM, usajili wa …
-
Mashabiki wa Yanga hawana budi kutembea kifua mbele baada ya mdhamini wa klabu hiyo kampuni ya Gsm kurejea mazima kuisaidia klabu hiyo. Inaelezwa kampuni hiyo tayari imeshaaanza kushughulikia mambo kadhaa …
-
Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya Gsm wamejitoa kuisaidia timu katika baadhi ya vitu ambavyo havimo katika mkataba kama kusaidia usajili pamoja na kulipa mishahara ya wachezaji na makocha …
-
Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema siku ya leo wachezaji wote wa Yanga watawekewa fedha zao za mgao wa Tsh Milioni 200 walizopata baada ya kupata ushindi dhidi ya …