uwanja yanga 1

Gsm Kujenga Uwanja wa Kaunda

Habari njema kwa mashabiki wa Yanga sc ni kwamba mdhamini na mfadhili wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM) ameridhia kushiriki kwenye ujenzi wa uwanja wa  Yanga unaotarajiwa kujengwa katika eneo la jangwani jijini Dar es salaam yalipo makao makuu ya klabu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais wa klabu hiyo Hersi Said iliyotolewa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks