Klabu ya Azam Fc ipo katika hatua za mwisho kumalizana na kocha Frolent Ibenge kuchukua nafasi ya Rachid Taoussi kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake Chamazi jijini Dar es Salaam. …
Ibenge
-
-
Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan imependekeza jina la kocha wa Simba Sc raia wa Afrika kusini Fadru Davis kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza kukinoa kikosi chao kuanzia …
-
Klabu ya Azam Fc imeanza mazungumzo na kocha wa klabu ya Al Hilal Fc Florent Ibenge ili kuinoa klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Yousouph Dabo iliyemtimua wiki iliyopita. Azam …
-
Wakati kikosi cha Al Hilal Fc kikiwa hapa nchini kujiandaa na michuano ya kimataifa kesho kinatarajiwa kukutana na Kmc Fc kucheza mchezo wa kirafiki utakaofanyika katika uwanja wa Baobab uliopo …
-
Klabu ya Azam Fc imeamua kukaza buti katika kuimendea saini ya kocha Frolent Ibenge kuja kuifundisha timu hiyo msimu ujao ili kuongeza maarifa zaidi baada ya kushindwa kufanya vizuri katika …
-
Taarifa kutoka nchini Morocco zinasema kuwa endapo kocha wa RS Berkane, Florent Ibenge ambaye ni Raia wa Congo endapo atashindwa kuifunga Simba atafukuzwa kuwa kocha wa klabu hiyo katika  mchezo …
-
Rais mpya wa Klabu ya AS Vita, mwanamama mrembo, Bestine Kazadi, ameweka wazi kuwa kocha wa mkuu wa timu hiyo, Frolent Ibenge hawezi kwenda popote ikiwa ni siku chache tu …
-
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid Claud Makelele yupo mjini Kinshasa akikamilisha mazungumzo ya kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kongo kuchukua nafasi ya …