Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Juvevtus, Miralem Pjanic amegomea dili la kujiunga Manchester United na PSG licha ya habari kueleza kuwa ana mpango wa kusepa ndani ya Juventus kutokana …
juventus
-
-
Nyota anayekipiga ndani ya Juventus, Christiano Ronaldo amepelekwa karantini kwa siku 14 wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi. Hii ni baada ya mapema wiki nyota huyo aliporejea …
-
Inter Milan imeingia kwenye bato la timu nne zinazopambana kumng’oa Paulo Pogba huko Manchester United kwenye usajili wa msimu ujao. Nyota huyo Mfaransa anaonekana kuwa mguu ndani nje Man United …
-
Lazio ina mpango wa kuimarisha kikosi msimu ujao kwa kumnyakua staika wa Wolverhampton Wanders,Diogo Jota ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Ureno . Nyota huyo anaweza kujiunga na klabu hiyo …
-
Klabu ya Juventus, huenda ikalazimika kumuuza nyota wake Cristiano Ronaldo, kutokana na kutikisika kiuchumi wakati huu wa janga la virusi vya Corona na klabu hiyo ipo katika hatari ya kushindwa …
-
Mlinda mlango wa manchester United ,David De Gea anatazamiwa kupigwa bei ili kuiongezea mkwanja timu yake katika usajili utakaofanywa msimu huu. Uongozi huo umeamua kutaka kumuuza De Gea kutokana na …
-
Juventus wameinamishwa kichwa chini baada ya kufungwa bao 1-0 na Lyon katika mchezo uliosimamiwa na refa Jesus Gil kutoka Spain katika uwanja wa Groupama Stadium. Bao la ushindi wa kipekee …
-
Timu ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya Leroy Sane ambaye ni mchezaji wa Manchester City. Sane ambaye ni raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za Bayern Munichen ambao kwa muda …
-
Mchezaji wa Juventus Paulo Dybala avunja ukimya baada ya tetesi kusemekana kuhitaji kuhamia Manchester United na Tottenham. Juventus wanahitaji kumpa mkataba mpya Paulo Dybala na upo mezani kwa sasa japo …
-
Barcelona ingependa kumchukua mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Ufaransa na Paris St-Germain Kylian Mbappe, ambaye sasa ana umri wa miaka 20, na mshambuliaji wa kati Tottenham Harry Kane,mwenye umri …