Patrick Gakumba ambaye ni wakala wa nyota wa Simba Sc, Meddie Kagrer amefunguka kwamba dili la mchezaji wake kutakiwa na klabu ya Hispania limekuwepo na kitu pekee ambacho kinakwamisha suala …
Kagere
-
-
Kwa mujibu wa meneja wa mchezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere aitwaye Patrick Gakumba ni kwamba mshambuliaji huyo amegomea ofa ya kujiunga na klabu ya Levante Fc ya nchini …
-
Simba Sc imeendelea kuonyesha ubabe baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 3-2 dhidi ya Azam fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Azam fc ndio …
-
Wakati ikidaiwa ameanza kuporomoka kiwango licha kuwa ndio anaongoza katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu,Meddie Kagere amewavutia wahispania ambao wanamuhitaji haraka nchini humo kujiunga na klabu yao. Timu hiyo …
-
 Viongozi wa Simba wapo kwenye mipango kabambe ya kuhakikisha wanasajili straika mwingine wa kimataifa mwenye uwezo wa kufunga mabao zaidi ya Mnyarwanda, Meddie Kagere. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu …
-
Mashabiki wa Simba sc jana walitoa kali ya kufungia mwaka baada ya kumvamia kocha Patrick Aussems ili kupiga nae picha baada ya mchezo mchezo dhidi ta Ruvu Shooting kumalizika na …
-
Ni Meddie Kagere ndiye aliyemaliza mchezo kati ya Simba sc na Azam baada ya kufunga bao pekee lililohakikisha msimbazi wanachukua pointi tatu muhimu kutoka chamazi. Goli hilo alilofunga kwa kichwa …
-
Wakala wa mshambuliaji wa Simba sc Meddie Kagere amethibitisha kumtafutia timu mshambuliaji huyo nchini Marekani ambapo anaweza kujiunga na timu hiyo msimu ujao endapo atafakisha mabao 25 ya ligi kuu …
-
Mshambuliaji hatari wa Simba sc Meddie Kagere amemaliza ubishi wa kocha wa Kagera sugar Mecky Mexime baada ya kuisaidia Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera sugar …
-
Kocha wa Simba sc Patrick Aussems amesema timu hiyo lazima itaongeza mshambuliaji katika dirisha dogo la usajili baada ya kugundua upungufu katika eneo hilo. Kocha huyo alisema hayo baada ya …