Namungo Yafunga Usajili na Kagere
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc Meddie kagere amejiunga na klabu ya Namungo yenye maskani yake mkoani Mtwara katika wilaya ya Ruangwa kwa mkataba wa mkopo wa miezi 6. Mchezaji huyo wa zamani wa Simba sc alijiunga na Singida Fountain Gate mwaka ambapo baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa nusu msimu sasa…
