Wakala wa wachezaji maarufu Dunia Mino Raiola 54′ amefariki Dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa nyumbani kwake Roma nchini Italia. Wakala huyo maarufu duniani anawasimamia wachezaji …
kifo
-
-
Staa wa soka toka enzi na enzi duniani Diego Maradona amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa moyo ambapo japo alikua akisumbuliwa na maradhi ya ubongo kwa muda mrefu. Ugonjwa wa …
-
Baba mzazi wa staa anayeichezea As Roma,Francesco Totti,Enzo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada yakupata shambulio la moyo miaka michache iliyopita huku akikumbwa na corona iliyomuweka katika …
-
Bondia wa Marekani Patrick Day 27,ambaye alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi tangu siku ya Jumamosi usiku baada ya kujeruhiwa vibaya katika pambano la ndondi ya kulipwa amefariki. Bondia …
-
Kiungo wa zamani wa Azam fc na Mtibwa sugar Ibrahim Rajabu Jeba amefariki dunia akiwa visiwani Zanzibar alikokua akiichezea timu ya Chuoni fc ya visiwani humo. Jeba aliyewahi kuichezea Azam …
-
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya ghana Junior Agogo amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Staa huyo aliyeichezea ghana jumla ya mechi …