Kiungo Feisal Salum ameifungia klabu yake ya Yanga sc bao pekee katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya timu ya Kmc uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es …
kmc
-
-
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa jioni ya leo siku ya Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutafanyika tukio …
-
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuzinduka kutoka usingizini na kuichapa Mtibwa sugar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam jioni ya …
-
Kikosi cha wachezaji 24, Benchi la ufundi pamoja na viongozi wa KMC FC wataondoka Jijini Dar es Salaam kesho kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya …
-
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara imetangaza kusogeza mbele kwa baadhi ya michezo ya ligi kuu nchini kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uwanja wa Mkapa kuwa na matumizi mengine ya …
-
Timu ya Kmc inayomilikiwa na Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni imefamikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika …
-
Klabu ya Kmc yenye maskani yake Kinondoni jijini Dar es salaam imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma jiji Fc katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika …
-
Mechi ya ligi kuu bara raundi ya sita kati ya Kmc na Coastal Union iliyochezwa leo Octoba 14,uwanja wa Uhuru imewagawanisha pointi mojamoja timu zote mbili baada ya kutoka suluhu. …
-
Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
-
KMC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa leo Septemba7 uwanja wa Uhuru. Mabao ya KMC yalipachikwa na Israel Patrick …