Kocha wa zamani wa timu za Mbeya City Fc na Yanga sc Juma Mwambusi amefikia makubaliano ya kuionoa klabu ya Coastal Union Fc ya jijini Tanga ambayo inashiriki ligi kuu …
ligi kuu bara
-
-
Kocha Salvatory Edward sasa rasmi amekabidhiwa kikosi timu ya Pamba Jiji ya Mwanza ambapo kwasasa atasaidiwa na kocha Henry Mkanwa baada ya mabosi wa timu hiyo kuamua kuachana na Kocha …
-
Hatimaye kocha mpya wa klabu ya Azam Fc Rachid Taoussi ameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Klabu ya Kmc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika …
-
Sasa Furaha na Shangwe zimerejea kwa mashabiki wa Simba sc baada ya timu hiyo kupata ushindi kwa mara ya pili mfululizo katika mechi za ligi kuu ya Nbc nchini ambapo …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Pape Osman Sakho amefanikiwa kutwa tuzo ya goli bora barani Afrika katika michuano ya klabu bingwa ambapo amepata tuzo hiyo inayotolewa na shirikisho la …
-
Taarifa kutoka klabu ya Simba sc zinasema kuwa klabu hiyo tayari imemalizana na beki David Kameta Duchu ambaye mkataba wake unafikia ukingoni mwishoni mwa msimu huu kwa kutomuongezea mkataba mpya. …
-
Kikosi cha wachezaji 24, Benchi la ufundi pamoja na viongozi wa KMC FC wataondoka Jijini Dar es Salaam kesho kuelekea mkoani Kagera kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya …
-
Klabu ya soka ya Dodoma jiji Fc yenye makao yake makuu jijini Dodoma imemuajiri kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Masoud Djuma kama kocha mkuu waklabu hiyo kufuatia …
-
Licha ya jitihada za klabu ya Yanga sc kutaka kuibuka na alama zote tisa kanda ya ziwa lakini juhudi na kujitoa kwa wachezaji wa Gwambina zimesababisha matokeo ya suluhu katika …
-
Bodi ya ligi nchini TPLB imetangaza rasmi kuwa mchezo wa ligi kuu nchini baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc utachezeshwa na waamuzi sita ili kuleta ufanisi zaidi. Akizungumza …