Usajili Yanga Sc 2025/2026 - sportsleo.co.tz

Usajili Yanga Sc 2025/2026

Usajili Yanga Sc 2025/2026: Mikakati na Mashine Mpya Zitakazotikisa Afrika Msimu mpya wa 2025/2026 unanukia, na klabu bingwa ya Tanzania, Young Africans Sports Club (Yanga SC), imeweka wazi dhamira yake ya kuendeleza utawala wake wa soka la Bongo na hatimaye kuvuka mipaka ya Afrika. Baada ya msimu wa 2024/2025 wenye mafanikio makubwa kwa kunyakua mataji…

Soma Zaidi
Screenshot 20250129 174813 Instagram

Dodoma Jiji Kuweka Kambi Arusha

Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji Fc imepanga kwenda kuweka kambi maalumu ya mafunzo jijini Arusha ili kujiandaa na michezo ya duru ya pili ya ligi kuu ya Nbc nchini. Katika Kambi hiyo timu hiyo pamoja na Mafunzo pia  imepanga kucheza michezo miwili ya kirafiki kujiandaa na michezo ya Ligi kuu ambapo itaanza kuzisaka alama…

Soma Zaidi
Screenshot 20241022 142808 Instagram

Mwambusi Atua Coastal Union

Kocha wa zamani wa timu za Mbeya City Fc na Yanga sc Juma Mwambusi amefikia makubaliano ya kuionoa klabu ya Coastal Union Fc ya jijini Tanga ambayo inashiriki ligi kuu ya Nbc nchini. Mwambusi ambaye aliwahi kutingisha anga la soka nchini kutokana na kiwango cha timu ya Mbeya City kwa wakati huo amefikia makubaliano na…

Soma Zaidi
FB IMG 1726768578025

Azam Fc Yachukua Alama 3 Kmc

Hatimaye kocha mpya wa klabu ya Azam Fc Rachid Taoussi ameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Klabu ya Kmc katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Kocha Taoussi alianza na mfumo wa kukabia juu ulioisumbua Kmc chini ya Abdihamid Moulin…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks