Klabu ya Dodoma Jiji Fc sasa imeingilia dili la mshambuliaji wa zamani Yanga, Heritier Makambo kutoka Al Murooj SC ya Libya ambaye alikua katika mchakato wa kurejea nchini kujiunga na …
makambo
-
-
Mshambuliaji Heritier Makambo amekubaliana na waajiri wake klabu ya Yanga sc kuvunja mkataba wake ili kupisha maboresho ya kikosi hicho baada ya kushindwa kumpa changamoto staa wa kikosi hiko Fiston …
-
Mashabiki wa soka nchini wamepigwa na taharuki kuhusu bei halisi aliyouzwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Heritier Makambo baada ya aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya klabu hiyo …
-
Baada ya Klabu ya Yanga kutangaza kuanza mchakato wa kutaka kumrejesha mshambuliaji wa kimataifa wa DR Congo, Heritier Makambo anayecheza Horoya AC ya Guinea,Afisa habari wa Klabu hiyo Elhadj Ibrahima …
-
Imeripotiwa kwamba kiasi cha mshahara anaolipwa straika Heritier Makambo na klabu ya Horoya ndio kikwazo kikuu cha kumrudisha katika klabu ya Yanga sc. Makambo aliuzwa na Yanga kwenda Horoya ya …
-
Habari ya mjini ni kwamba yule straika anayefunga kwa kichwa na miguu yote Heritier Ebenezer Makambo anarudi Jangwani baada ya kuuzwa msimu uliopita katika klabu ya Horoya Fc ya nchini …
-
Klabu ya Horoya AC ya Guinea imemtangaza Lamine N’diaye raia wa Senegal kuwa kocha Mkuu akichukua nafasi ya mfaransa Didier Gomes da Rosa aliyefurushwa. N’diaye aliwahi kuvinoa vilabu vya Garoua,Al …
-
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema mshambuliaji mpya wa timu hiyo David Molinga ni hatari kushinda Herritier Makambo aliyeichezea timu hiyo msimu uliopita. Zahera amesema hayo jana wakati …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga sc Mybin Kalengo amepewa jezi namba 19 iliyokuwa ikivaliwa na mshambuliaji Heritier Makambo aliyejiunga na Horoya Fc ya nchini Guinnea. Kalengo 19 aliyesajiliwa na Yanga akitokea …
-
Baada ya klabu ya Yanga Fc kumuuza mshambuliaji wake Heritier Ebenezer Makambo kwenda klabu ya Horoya Fc ya Guinnea basi mambo yameiva baada ya timu hiyo inayocheza ligi kuu na …