Klabu ya Aston Villa imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford raia wa England kwa mkopo mpaka mwishoni mwa msimu huu 2024-2025 akitokea Manchester United. Aston Villa italipa asilimia 75 …
man united
-
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Carabao Cup baada ya kuifunga klabu ya Newcastle United kwa maba0 2-0 katika mchezo mkali uliofanyika katika uwanja wa Wembley …
-
Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuikoa klabu ya Man utd na kipigo baada ya kusawazisha bao dakika ya 62 na kuifanya Man united iambulie sare katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza …
-
Klabu ya Manchester united imeondoshwa nje ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0 na Atletico Madrid ya nchini Hispania na kuondolewa katika michuano kwa jumla …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya dhidi ya klabu ya Atletico Madrid katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Wanda Metropolitano …
-
Manchester United wamewakaribisha leo Octoba 24,Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani wa Old Trafford kwenye mchezo wa ligi kuu England ambapo wametoka suluhu. Katika mchezo huo uliomalizika kwa suluhu Chelsea …
-
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi baada ya kuwa nje kutokana na kupata maambukizi ya virusi vya Corona. Pogba ana uwezekano mkubwa wa kutocheza mchezo wa kwanza …
-
Manchester United imekamilisha usajili wa mchezaji Donny van de Beek kwa ada ya Paundi Milioni 40 ambayo inaelezwa kuwa atalipwa paundi 107,000 kwa wiki. Van de Beek amesaini kandarasi ya …
-
Mshambuliaji wa Manchester United,Paul Pogba amekutwa na virusi vya Corona muda mfupi kabla ya msimu mpya wa ligi kuu England kuanza hivyo ameondolewa kwenye kikosi kwa ajili ya uangalizi. Pogba …
-
Taarifa zinaeleza kuwa mshambuliaji wa Barcelona,Lionel Messi aliitumia barua klabu yake jana Jumanne, ambapo barua hiyo ilikuwa inaeleza anataka kutumia kifungu kilichopo katika kandarasi yake ili kuweza kuondoka katika klabu …