Klabu ya Manchester City imetwa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Westham Fc katika mchezo …
Manchester City
-
-
Uongozi wa klabu ya Manchester City upo kwenye mazungumzo na mshambuliaji wao Erling Haaland juu ya kubadilisha vipingele vya mkataba wake hasa juu ya gharama ya kuvunja mkataba wa Erling …
-
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kutwaa taji la sita la ligi kuu ya Uingereza baada ya kuifunga timu ya Aston Villa 3-2 katika uwanja wa nyumbani wa Ettihad na kuwaacha …
-
Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Manchester City ilioupata klabu ya Real Madrid umeiwezesha kuingia hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya katika mchezo uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid mchezo wa nusu fainali ya Uefa Champions League mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ettihad jijini Manchester. …
-
Klabu ya Manchester United imefungwa mabao 4-1 na Manchester City katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Ettihad jijini Manchester. Mabao mawili ya Kelvin De Bryune …
-
Beki wa kushoto wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa na kosa lingine la ubakaji katika mfululizo wa mashtaka hayo na kufanya kufikia saba hadi sasa huku linguine moja likiwa ni …
-
Taarifa zinaeleza kuwa Sergio Agüero hatokabiliwa na hatua yoyote ya adhabu kwa kuweka mkono kwenye bega la kushoto la mwamuzi msaidizi Sian Massey-Ellis wakati wa ushindi wa Manchester City dhidi …
-
Kiungo wa Manchester City,Kelvin De Bruyne ametawazwa kama mwanasoka bora wa kiume wa mwaka na chama cha wanaume PFA. De Bruyne amempa sifa zote kocha wake mkuu ,Pep Guardiola kwani …
-
Lionel Messi ametangaza kubakia Barcelona msimu wa 2020/2021 kutokana na ugumu wa masuala ya kisheria yaliyomo kwenye mkataba wake yanayomzuia kuondoka ndani ya klabu hiyo. Manchester City itakosa huduma ya …