Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kutwaa kombe la Muungano nchini baada ya kuifunga klabu ya Jku kwa 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika viwanja vya Gombani Visiwani Pemba. Yanga …
Mapinduzi Cup
-
-
Kocha wa timu ya Jkt Tanzania Ahmed Ally ameteuliwa na Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania bara (Kilimanjaro Stars) ambayo imeingia kambini …
-
Kiungo wa Klabu ya Simba sc Fabrice Ngoma ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa kombe la Mapinduzi licha ya klabu yake kukosa kombe baada ya kuruhusu kufungwa 1-0 na Mlandege …
-
Klabu ya Mlandege Fc imeibuka mabingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanikiwa kuifunga Simba sc kwa bao 1-0 katika mchezo wa michuano hiyo uliofanyika …
-
Simba SC imetinga hatua ya fainali Mapinduzi Cup 2022 baada ya kuifunga Singida Fountain Gate kwa penalti 3-2 baada ya kumaliza dakika 90 matokeo yakiwa 1-1 katika mchezo wa hatua …
-
Mlandege FC imefuzu hatua ya fainali Mapinduzi Cup 2024 baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa penalti 4-2 kwenye mechi ya nusu fainali iliyoisha dakika 90 bila kufungana (0-0) na …
-
Klabu ya Simba sc imeamua kuwatema nyota wake watano wa kikosi cha kwanza kutokana na kutoridhishwa na uwezo wao ikiwa ni mapendekezo ya kocha Abdelhack Benchika juu ya masuala ya …
-
Klabu ya Azam Fc imetolewa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Singida Fountain Gate katika mchezo wa michuano hiyo uliofanyika …
-
Klabu ya Yanga sc imetolewa nje ya michuano ya Maponduzi Cup baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa APR mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amani Visiwani humo na …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa kundi B michuano hiyo baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 katika dakika tisini za mchezo huo uliokua mkali …