Usajili mpya wa klabu ya Yanga sc Augustine Okrah anatarajiwa kurejea katika mazoezi ya klabu hiyo muda mfupi ujao baada ya kuumia katika mchezo wake wa kwanza klabuni hapo dhidi …
Mapinduzi Cup
-
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Aubin Kramo amewasili nchini kutoka nchini kwao Ivory Coast alipokwenda kwa ajili ya matibabu na moja kwa moja amejiunga na kambi ya timu …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuifunga Singida Fountain Gate Fc kwa mabao 2-0 katika …
-
Ni mshtuko mkubwa kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania baada ya Mlandege Fc ya visiwani Zanzibar kufanikiwa kuwafunga Singida Big Stars 2-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi …
-
Timu ya Namungo Fc imetolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea Visiwani Zanzibar baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-4 kutoka kwa Mlandege katika changamoto ya mikwaju ya penati …
-
Klabu ya soka ya Azam Fc imeungana na klabu za Simba sc na Yanga sc baada ya kutolewa katika michuano ya kombe la Mapinduzi kutokana na kukubali kipigo cha mabao …
-
Klabu ya Yanga sc imeshindwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi Cup baada ya kutoka sare ya 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa mwisho wa …
-
Klabu ya Simba sc imeondoshwa katika michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea huko Zanzibar baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Mlandege Fc uliofanyika katika …