Snapinsta.app 419821485 18395388997071034 7924220630159660611 n 1080

Ngoma Mchezaji Bora Mapinduzi

Kiungo wa Klabu ya Simba sc Fabrice Ngoma ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa kombe la Mapinduzi licha ya klabu yake kukosa kombe baada ya kuruhusu kufungwa 1-0 na Mlandege katika fainali iliyofanyika katika uwanja wa Amani Visiwani Zanzibar. Mchezaji huyo alikabidhiwa tuzo hiyo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk Hussein Mwinyi…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 419859716 18395380144071034 8413677817120883465 n 1080

Mlandege Bingwa Mapinduzi Cup

Klabu ya Mlandege Fc imeibuka mabingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanikiwa kuifunga Simba sc kwa bao 1-0 katika mchezo wa michuano hiyo uliofanyika katika uwanja wa Amani Visiwani Zanzibar. Mlandege Fc iliyoanza mchezo huo ikijilinda zaidi huku ikishambulia kwa kushtukiza ikiaacha viungo wa Simba Sc Babacar Sarr na…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 418369024 1440219183196315 7176692263286068402 n 1080

Mlandege Yatinga Fainali Mapinduzi Cup

Mlandege FC imefuzu hatua ya fainali Mapinduzi Cup 2024 baada ya kuitoa APR ya Rwanda kwa penalti 4-2 kwenye mechi ya nusu fainali iliyoisha dakika 90 bila kufungana (0-0) na wenyeji kufanikiwa kushinda kwa penati. Kipa wa Mlandege Fc Othmani Hassan aliibuka shujaa kwa klabu yake baada ya kufanikiwa kudaka michomo miwili ya penati ikiwemo…

Soma Zaidi
416946130 18394397116071034 2631484730946860786 n

Simba Sc Yatema Watano

Klabu ya Simba sc imeamua kuwatema nyota wake watano wa kikosi cha kwanza kutokana na kutoridhishwa na uwezo wao ikiwa ni mapendekezo ya kocha Abdelhack Benchika juu ya masuala ya kiufundi na usajili klabuni hapo. Katika orodha ya mastaa hao ambao baadhi watatolewa kwa mkopo huku wengine wakiachwa moja kwa moja wapo Abdalah Hamis,Nassoro Kapama,Jimmyson…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 417712350 1918336378673232 156371883455125321 n 1080

Azam Fc “Out” Mapinduzi Cup

Klabu ya Azam Fc imetolewa nje ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Singida Fountain Gate katika mchezo wa michuano hiyo uliofanyika katika uwanja wa Amani visiwani humo. Azam Fc ilianza na kikosi kikali kikiwa na mastaa wake wakiongozwa na Yannick Bangala,Paschal Msindo,Daniel Amoah,James Akaminko,Kipre Junior na…

Soma Zaidi
417914124 932337911585474 2035445451073304771 n

Yanga Sc “Out” Mapinduzi Cup

Klabu ya Yanga sc imetolewa nje ya michuano ya Maponduzi Cup baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa APR mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amani Visiwani humo na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa mashabiki wa klabu hiyo. Kocha Miguel Gamond alionekana kutoupa uzito mchezo huo baada ya kuanza na wachezaji wengi wa kikosi…

Soma Zaidi
416858493 18394045903071034 2007104509561273842 n

Simba Sc Vs APR Hakuna Mbabe

Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa kundi B michuano hiyo baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 katika dakika tisini za mchezo huo uliokua mkali na wa kusisimua huku ukijaza mashabiki wengi katika uwanja wa Amani visiwani Zanzibar. Ikianza na kikosi chenye mastaa wengi wa kikosi cha kwanza ambapo golini…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 414957374 18304586188135476 5970215422566577067 n 1080

Okrah Anarejea Soon

Usajili mpya wa klabu ya Yanga sc Augustine Okrah anatarajiwa kurejea katika mazoezi ya klabu hiyo muda mfupi ujao baada ya kuumia katika mchezo wake wa kwanza klabuni hapo dhidi ya Kvz katika kombe la Mapinduzi inayoendelea nchini Visiwani Zanzibar. Okrah aliingia kwa mara ya kwanza uwanjani kuitumikia Yanga sc lakini ilipotimu dakika ya 57…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks