Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Fiston Mayele amewasilisha barua kwenye Menejiment ya klabu ya Pyramids kwa ajili ya kuhitaji kusitishiwa mkataba wake ili akapate changamoto mpya sehemu …
Mayele
-
-
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele ambaye kwasasa anakipiga Pyramids Fc ya nchini Misri ameingia tatu bora katika tuzo ya mchezaji wa mashindani CAF akiburuzana na staa wa Al …
-
Klabua ya Pyramids Fc ya nchini Misri imemtambulisha rasmi mshambuliaji Fiston Mayele kutoka klabu ya Yanga sc ambapo mchezaji huyo ataitumikia klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu huku akipewa …
-
Washambuliaji wa vilabu vya Yanga sc na Simba sc Fiston Kalala Mayele na Moses Phiri wamenogesha ligi kuu nchini baada ya kuwa na ushindani wa kuwania kiatu cha dhahabu cha …
-
Klabu ya Ihefu Fc chini ya Kocha Juma Mwambusi imefanikiwa kuvunja mwiko wa kutofungwa kwa jumla ya mechi 49 za ligi kuu uliowekwa na klabu ya Yanga sc baada ya …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala Mayele amezidi kuonyesha ubora wake kiwanjani huku akifunga mabao ya kideoni katika michezo ya ligi kuu nchini hasa bao la siku ya …
-
Ni balaa tupu kombinesheni ya wachezaji wa Yanga sc hasa Benard Morrison na Fiston Mayele ambao wameiwezesha klabu ya Yanga sc kuibuka na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Coastal …
-
Ni jina ambalo kwa sasa linaimbwa tangu siku ya Jumamosi baada ya kufanikiwa kuipa ushindi klabu ya Yanga sc baada ya kufunga mabao 2 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala Mayele amewasili nchini tayari kujiunga na klabu yake ya Yanga sc kufanya maandalizi wa msimu mpya wa ligi nchini ambao utaanza rasmi …
-
Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Yanga sc Senzo Mazingiza amethibitisha klabu hiyo kupokea ofa ya mshambuliaji Fiston Kalala Mayele kuhitajika katika klabu za Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini …