Kiungo wa klabu ya Yanga sc Jonas Mkude ameshindwa kesi aliyoifungua mahakamani dhidi ya Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited akidai fidia ya kiasi cha bilioni moja kutokana na Kampuni hiyo …
mkude
-
-
Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam inatarajia kusikiliza usuluhishi katika kesi ya kiungo nyota wa Yanga Sc Jonas Mkude ambaye anaidai kampuni ya Mohamed Enterprises (Tanzania) Limited …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Jonas Mkude amefungua shauri katika mahakama kuu kanda ya Dar es salaam akiishtaki kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) kutokana na kutumia picha …
-
Staa Jonas Mkude na Metacha Mnata wamejiunga na wenzao katika viwanja vya mazoezi vya Avic Town pamoja na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya …
-
Katika kutoa heshima kwa Jonas Mkude,klabu ya Simba sc imeamua kustaafisha jezi namba 20 iliyokua ikivaliwa na mchezaji huyo ili kutoa heshima kwa staa huyo ambaye wamechana nae hivi karibuni. …
-
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) kila mmoja mechi mbili pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si …
-
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije amempa ruhusa Kiungo Jonas Mkude kuondoka kwenye Kambi ya Kikosi hicho kwenda kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Mkude alitoa taarifa kwa Kocha Ndairagije …
-
Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Senzo Masingiza amelimaliza kisomi suala la wachezaji Jonas Mkude,Clatous Chama na Gadiel Michael ambao walikua wanakabiliwa na madai ya utovu wa nidhamu baada ya …
-
Kiungo wa Simba sc Jonas Mkude ameingia matatani baada ya kuchelewa kuripoti kambini baada ya kupewa ruhusu hivyo kuchelewa ndege kwenda kanda ya ziwa ambapo timu hiyo ilikwenda kucheza michezo …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) imejiweka katika mazingira magumu kufuzu katika michuano ya Afcon baada ya jana kulazimishwa suluhu na Kenya katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa taifa …