Mo Afunguka Mambo Mazito Simba Sc
mo dewji
-
-
Bosi wa klabu ya Simba sc Mohamed Dewji ameamua kuwakabidhi faili zima la usajili wa mastaa klabuni hapo kwa gwiji Crescentius Magori pamoja na Mulamu Ng’ambi ili kurejesha furaha kwa …
-
Bosi wa klabu ya Simba sc Mohamed Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa mshauri wake mkuu baada ya kuridhishwa na kazi yake aliyoifanya kwa mara ya kwanza tangu ameteue katika cheo …
-
Uongozi wa Simba Sc umemtangaza mtendaji mkuu mpya wa klabu yao(CEO), Barbara Gonzalez ambaye atakuwa mrithi katika kiti cha Senzo Mbatha ambaye alijiuzulu na kuibukia Yanga Sc. Mkurugenzi wa bodi …
-
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc,Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameamua kuziweka hisia zake wazi kuhusu beki mkongwe wa klabu hiyo Pascal Wawa kutokana na ubora wa kiwango chake ndani …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umeahirisha ugawaji wa tuzo za Mo kama walivyofanya misimu miwili iliyopita kutokana na muda kutokuwa rafiki kwao. Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba Sc, Mohamed …
-
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba Sc,Mohammed Dewji ambaye pia ni mwekezaji wa simba amewaambia wekundu hao wa msimbazi wajipange kwa ajili ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) …
-
Mwenyekiti Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba Mwekezaji wa Klabu hiyo Mohamed Dewji pamoja na viongozi wa Klabu ya Simba wamefanya kufuru Baada ya kuahidi donge nono ili kuifunga …
-
Bilionea wa klabu ya Simba sc Mohamed Dewji amewataka wanasimba kuwa watulivu hasa katika kipindi hiki cha usajili kwani watasajili mchezaji yeyote wanayemtaka. Mo amesema hayo kupitia mtandao wake wa …
-
Bilionea wa Simba Sc, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameanza kutoa maneno kwa matajiri wa Yanga na kampuni ya GSM iliyomtengea mamilioni kiungo wake Hassan Dilunga ili kuhakikisha anatua Jangwani. GSM hivi …