Pamoja na shauku ya mashabiki wa klabu ya Kengold Fc kumuona uwanjani mshambuliaji wao mpya Bernard Morrison itawalazimu kusubiri kwa muda kutokana na staa huyo kutokua fiti kutumika katika michezo …
morrison
-
-
Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Simba sc na Yanga sc Benard Morrison amejiunga na klabu ya mashujaa Fc ambayo ipo jijini Dar es salaam kwa mazoezi ya gym akijiweka …
-
Kocha wa klabu ya Yanga sc amesema kuwa mchezaji wake Benard Morrison hayuko fiti kucheza zaidi ya dakika anzompa kutokana na tabia ya mchezaji huyo kutopenda mazoezi magumu hali inayosababisha …
-
Tayari ikiwa na uhakika wa kushiriki katika michuano ya kimataifa msimu ujao klabu ya Singida Big Stars imeanza maandalizi ya msimu ujao kwa kukisuka kikosi cha timu hiyo kwa kuwasajili …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga sc Cedrick Kaze amefafanua suala la mchezaji Benard Morrison kutojumuishwa katika mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Rivers United ya nchini Nigeria huku …
-
Uhusiano baina ya klabu ya Yanga sc na mchezaji wake Benard Morrison unaelekea kuzorota baada ya staa huyo kuchelewa kuripoti kambini tangu alipokwenda nchini kwa Ghana kwa ruhusa maalumu ambapo …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Benard Morrison amefungiwa mechi tatu mfululizo na kamati ya usimamizi wa ligi kuu nchini kwa kosa la kumkanyaga mchezaji Lusajo Mwaikenda katika mchezo …
-
Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu kuhusu sakata la usajili la Benard Morrison hatimaye mchezaji huyo usiku wa kuamkia leo ametambulishwa rasmi kama mchezaji wa klabu ya Yanga sc …
-
Taarifa za kuaminika kutoka kwenye vyanzo mbalimbali zinasema kuwa, klabu ya Dar Young Africans imemalizana na nyota wake wa zamani raia wa Ghana, Bernard Morrison kwa ajili ya kupata huduma …
-
Klabu ya Simba sc imempa mkoni wa kwaheri winga Benard Morrison kutokana na kutoridhishwa na kiwango chake cha hivi karibuni huku nidhamu ikichangia kufikia maamuzi hayo. Winga huyo alisajiliwa kwa …