Klabu ya Mtibwa Sugar imefungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (Fifa) kutokana na kutokamilisha malipo ya fedha za usajili za mchezaji Justin Ndikumana ambaye ilimsajili klabuni hapo msimu uliopita. …
mtibwa sugar
-
-
Uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar Umefungua mazungumzo na Kocha wa sasa wa klabu ya Mtibwa Sugar raia wa Marekani Mellis Medo ili kujiunga na klabu hiyo kuchukua nafasi ya …
-
Ikiwa bado na michezo mitatu mkononi klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini Tanzania baada ya kuifunga mabao 3-1 timu ya Mtibwa …
-
Klabu ya Azam Fc imezidi kuzamisha jahazi la Mtibwa Sugar baada ya kuichapa mabao 2-0 ugenini katika uwanja wa Manungu Complex ulioko Turiani Morogoro katika mchezo wa ligi kuu ya …
-
Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi kinda Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wa klabu hiyo baada ya kufanikiwa kununua mkataba wake uliosalia katika klabu ya Mtibwa sugar ambapo …
-
Klabu ya Yanga sc imerudi kwa kasi katika ligi kuu nchini baada ya kuibamiza Mtibwa Sugar kwa mabao 4-1 na kuendelea kujiwekea mazingira mazuri ya kurudi kileleni mwa msimamo wa …
-
Kocha Zubeiry Katwila ameipa vitisho klabu ya Yanga sc kuwa yuko tayari kupambana katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika siku ya Jumamosi katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini …
-
Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar Fc imetangaza kuwa dau la kumsajili kinda wa klabu hiyo Ladack Chasambi ni shilingi za kitanzania milioni mia moja ambayo ipo katika kipengele cha …
-
Mtibwa Sugar ikiwa chini ya kocha wake Mpya Zubeir Katwila imeichapa Geita Gold kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa Oktoba 26, kwenye uwanja wa …
-
Sasa ni rasmi kocha Zubeiry Katwila amerudi katika klabu yake iliyomtoa ya Mtibwa Sugar baada ya kuachana nayo miaka mitatu iliyopita na kujiunga na Ihefu Fc yenye makazi yake jijini …