Uongozi wa klab ya Mtibwa sugar umefikia maamuzi ya kuachana na Aliyekuwa kocha wao Mkuu Habib kondo baada ya kuwa na mwenendo usio ridhisha kikosini humo hasa katika michuano ya …
mtibwa sugar
-
-
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuzinduka kutoka usingizini na kuichapa Mtibwa sugar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam jioni ya …
-
Kiungo wa klabu ya Mtibwa Sugar Said Ndemla ameikoa klabu yake kukosa alama tatu baada ya kufanikiwa kufunga bao katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliofanyika …
-
Klabu ya Yanga sc imeinia matatani kufuatia sakata la usajili wa Kipa Aboutwalib Mshery ambapo klabu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar imelalamika katika vyombo vya habari kutolipwa ada ya …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Manungu Complex uliopo Turiani mjini …
-
Winga wa zamani wa vilabu vya TP Mazembe na Simba sc Deogratius Kanda amejiunga rasmi na wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Mtibwa Sugar katika dirisha hili dogo la usajili. Deo …
-
Baada ya kocha mkuu wa Mtibwa Sugar,Zuberi Katwila kumwaga manyanga jana Oktoba 18, ndani ya kikosi hicho ambacho alikuwa nacho kwa muda mrefu ameibukia Ihefu Fc ya Mbeya. Katwila anachukua …
-
Klabu ya Young Africans Sc imetozwa faini ya laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wa timu yake kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kuwapiga na kuwachania jezi mashabiki …
-
Yanga Sc imefanikiwa kusepa na pointi tatu leo katka uwanja wa Jamuhuri uliopo jijini Morogoro baada ya kuwapa kichapo cha bao 1-0 Mtibwa Sugar kupitia kiungo wao mpya Lamine Moro. …
-
Kikosi cha Yanga Sc kinachonolewa na kocha mkuu, Zlatko Krmpotic kinatarajia kuanza safari yake leo kueleleka Morogoro kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa …