Yanga SC Yaifuata Mtibwa Bila Dube-www.sportsleo.com

Yanga SC Yaifuata Mtibwa Bila Dube: Changamoto na Mikakati ya Ligi Kuu ya NBC

Yaliyomo (Table of Contents) Utangulizi Kikosi cha Yanga SC kimeanza safari kuelekea Dodoma kupitia Dar es Salaam kikitokea Arusha, huku kikijiandaa kwa mchezo muhimu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Machi 21, 2026. Safari hii inakuja wakati timu inakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na wachezaji wake kadhaa walio nje kwa majeraha….

Soma Zaidi
Screenshot 20250111 000804 Instagram

Mtibwa Yafungiwa Kusajili Fifa

Klabu ya Mtibwa Sugar imefungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (Fifa) kutokana na kutokamilisha malipo ya fedha za usajili za mchezaji Justin Ndikumana ambaye ilimsajili klabuni hapo msimu uliopita. Fifa iliwataka Mtibwa Sugar kulipa kiasi kinachokadiriwa kufikia kiasi cha shilingi milioni 34 za kitanzania ambapo walipewa siku 45 kukamilisha malipo hayo. Sasa rasmi baada…

Soma Zaidi
Screenshot 20241016 105123 Instagram

Medo Mbioni Kutua Kagera Sugar

Uongozi wa Klabu ya Kagera Sugar Umefungua mazungumzo na Kocha wa sasa wa klabu ya Mtibwa Sugar raia wa Marekani Mellis Medo ili kujiunga na klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Paul Nkata. Kwasasa kikosi cha Kagera Sugar kipo chini ya kaimu Kocha Bube na hii ni baada ya kufutwa kazi kwa Aliyekuwa Kocha wao…

Soma Zaidi
438255331 1005717324247532 6685015358995811266 n

Yanga Sc Bingwa Ligi Kuu 2023/2024

Ikiwa bado na michezo mitatu mkononi klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini Tanzania baada ya kuifunga mabao 3-1 timu ya Mtibwa Sugar na kufanikiwa  kufikisha alama 71 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yeyote hapa nchini. Yanga sc imefikisha alama hizo 71 katika michezo 27 ya ligi…

Soma Zaidi
441951748 18430416442052678 3768166008419993629 n

Azam Fc Yaizamisha Mtibwa Sugar

Klabu ya Azam Fc imezidi kuzamisha jahazi la Mtibwa Sugar baada ya kuichapa mabao 2-0 ugenini katika uwanja wa Manungu Complex ulioko Turiani Morogoro katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc uliofanyika Mei 06 2024. Azam Fc ikianza na kikosi chake cha kila siku ilianza kupata bao dakika ya 20 baada ya krosi…

Soma Zaidi
418727223 18394575787071034 6985257383215046113 n

Chasambi Rasmi Simba Sc

Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi kinda Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wa klabu hiyo baada ya kufanikiwa kununua mkataba wake uliosalia katika klabu ya Mtibwa sugar ambapo sasa atakua mchezaji wa klabu hiyo kwa miaka mitatu. Chasambi mchezaji bora wa ligi ya vijana wa miaka 20 kwa miaka miwili mfululizo amejiunga na…

Soma Zaidi
411414938 919699929515939 364105104316332467 n

Yanga sc Yaizamisha Mtibwa Sugar

Klabu ya Yanga sc imerudi kwa kasi katika ligi kuu nchini baada ya kuibamiza Mtibwa Sugar kwa mabao 4-1 na kuendelea kujiwekea mazingira mazuri ya kurudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya soka ya NBC hapa nchini. Yanga sc iliingia katika mchezo huo ikiwa na mabadiliko kadhaa katika kikosi cha kwanza ambapo Nickson Kibabagee,Salum…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 403887332 2650569665119094 5829157222331872581 n 1080

Katwila Aitisha Yanga sc

Kocha Zubeiry Katwila ameipa vitisho klabu ya Yanga sc kuwa yuko tayari kupambana katika mchezo wa ligi kuu utakaofanyika siku ya Jumamosi katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es salaam. Katwila ambaye ni kocha wa zamani wa Ihefu Sc ambapo amewahi kuifunga Yanga sc alipokua kocha wa klabu hiyo mchezo uliochezwa mkoani…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks