Simba SC
Namungo fc
-
-
Simba Sc
-
Mgunda
-
Timu ya soka ya Yanga sc imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Namungo Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo wa …
-
Klabu ya Azam Fc imeshindwa kuchukua alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Namungo Fc uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi …
-
Klabu ya Simba Sc leo imeondoka kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya klabu ya Namungo Fc utakaopigwa siku ya jumanne katika uwanja …
-
Kocha Sead Ramovic amelazimika kumuanzisha kipa Khomeini Abubakar kutokana na kukosekana kwa Kipa Djigui Diarra ambaye anasumbuliwa na maumivu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Klabu ya Namungo Fc. …
-
Kikosi cha Yanga Sc kitaendelea kuwakosa wachezaji wake Khalid Aucho, Clement Mzize ambao ni majeruhi huku Ibrahim Bacca naye akikosekana kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu. Msafara wa Yanga …
-
Msafara wa mastaa wa klabu ya Yanga sc umewasili salama wilayani Ruangwa mkoani Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Namungo Fc utakaofanyika siku …
-
Klabu ya Namungo Fc imemuajiri kocha Juma Mgunda kuionoa klabu hiyo katika ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha hali inayotishia nafasi ya klabu hiyo kubaki …