Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Tanzania Prisons baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika mchezo …
nbcpremierleague
-
-
Klabu ya soka ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga imekabidhiwa basi jipya aina ya Youtong na benki ya biashara ya Nbc nchini kwa ajili ya kurahisisha safari zake …
-
Kikosi cha Yanga sc kimerejea kwa kishindo katika michuano ya ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Kagera Sugar Fc kwa mabao 4-0 katika mchezo wa ligi …
-
Mchezaji wa zamani wa Yanga Sc na Majimaji FC Fred Mbuna, amejiunga na Tanzania Prisons kama kocha msaidizi wa timu hiyo ambayo Disemba 28, 2024 ilitangaza kuvunja mkataba wa aliyekuwa …
-
Klabu ya Yanga sc imerejesha makali yake ya ufungaji baada ya kuifunga Fountain Gate Fc kwa mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa …
-
Klabu ya Yanga sc ikielekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc imetangaza kuwakosa mastaa wake Djigui Diarra sambamba na Cletous Chama kutokana na kusumbuliwa na majeraha waliyoyapata katika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kupata ushindi baada ya kuukosa katika michezo yake miwili iliyopita ya ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga Namungo Fc kwa mabao 2-0 katika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Pamba Jiji katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Azam …
-
Kocha mkuu wa Namungo Fc,Cedric Kaze amesema licha ya Yanga Sc kuwa kwenye kiwango bora ila yeye kama mkuu wa benchi ya ufundi hawaogopi Yanga Sc huku akitanabaisha kuwa anawajua …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuutaawala usiku wa Tuzo za ligi kuu ya Nbc nchini pamoja na zile za kombe la shirikisho la ASFC baada ya mastaa wa klabu hiyo …