Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc imeendelea rekodi nzuri ya ushindi dhidi ya waoka mikate Azam fc pindi timu hizo zinapokutana. Katika mchezo uliofanyika Jumamosi hii …
nbcpremierleague
-
-
Klabu ya soka ya Yanga imefunga mwaka 2021 na kufungua mwaka 2022 vizuri baada ya kupata ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya wauza zabibu Dodoma Jiji. Mchezo huo wa mzunguko …
-
Aliyekuwa mlinda mlango namba moja wa wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Aboutwalib Mshery amejiunga na mabingwa wa kihistoria nchini klabu ya soka ya Yanga hii leo. Mshery amesaini kandarasi ya …
-
Kocha msaidizi wa mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc Thiery Hitimana ameachana na klabu hiyo baada ya kusitishwa kwa mkataba wake na waajiri wake hao. …
-
Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga imepata ushindi wa 2-1 dhidi Biashara united kwenye moja ya mechi ngumu iliyokutana nazo msimu huu kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa muda mchache uliopita. Biashara …
-
Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake Ditram nchimbi pamoja na Adeyun Swalehe waliojiunga na klabu ya Geita Gold baada ya kumalizika kwa mikataba …
-
Winga wa zamani wa vilabu vya TP Mazembe na Simba sc Deogratius Kanda amejiunga rasmi na wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Mtibwa Sugar katika dirisha hili dogo la usajili. Deo …
-
Klabu ya soka ya Simba imepata ushindi mnono wa magoli 4-1 dhidi ya KMC katika mfululizo wa mechi za ligi kuu soka ya NBC inayoendelea hapa nchini na kujikusanyia pointi …
-
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa hali za kiafya za wachezaji na wafanyakazi waliokumbwa na mlipuko wa homa ya mafua ndani ya kikosi chao hali iliyopelekea mchezo …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa majembe mapya yaliyosajiliwa na klabu hiyo kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili yataanza kuonekana rasmi kwenye michuano ya Mapinduzi cup inayotarajiwa …