Yanga Sc Yaidunga Prisons 5-0
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Tanzania Prisons baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Yanga sc ikiingia uwanjani bila mshambuliaji wake Stephan Aziz Ki…
