Kufuatia kupigwa na kujeruhiwa vibaya alipokua ulingoni katika pambano la ngumi la raundi nne dhidi ya Ally Sewe katika ukumbi wa Mrina Manzese Tiptop,bondia Mohammed Mnemwa ameita wadau kumsaidia gharama …
ngumi
-
-
Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania Mohamedi Mnemwa amelazimika kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa (Moi) kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu …
-
Naibu waziri wa habari sanaaa utamaduni na michezo Mh. Hamis Mwinjuma amewaagiza viongozi wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) kumuitwa bondia Kennedy Ayo aliyedai kutelekezwa Nchini Tunisia na …
-
Kampuni maarufu ya usimamizi wa ngumi nchini ya Mafia Boxing imeandaa mapambano maalumu ya kufunga mwaka yatakayofanyika siku ya Disemba 26b katika ukumbi wa Superdome Masaki jijini Dar es Salaam. …
-
Bondia raia wa Tanzania Kennedy Ayo amekwama nchini Urusi baada ya kukosa nauli ya kurudi nyumbani kutokana na ubabaishaji wa promota wa pambano lake nchini humo. Bondia huyo alikwenda kupambana …
-
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungulia bondia Hassan Mwakinyo kutoka kifungoni baada ya kufanyika kikao cha maridhiano baina ya kambi ya bondia huyo,Kamisheni na kampuni ya PAF Promotions …
-
Bondia Mtanzania Fadhili Majiha ‘Kiepe Nyani’ ambaye ni bingwa wa mkanda wa WBC Afrika ameweka rekodi ya kuwa Bondia wa kwanza nchini kupata hadhi ya nyota nne na nusu akivunja …
-
Kampuni ya PAF Promotion imemfungulia shauri la madai Bondia Hassan Mwakinyo ambalo linatarajiwa kutajwa kwa mara ya kwanza Novemba 13, 2023 katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es …
-
Bondia Hassan Mwakinyo amefafanua kuhusu kufungiwa kwake na shirikisho la ngumi nchini Uingereza kucheza mapambano ya ngumi nchini humo kwa kipindi cha siku arobaini na tano baada ya pambano lake …
-
Bondia Karim Mandonga “Mtu Kazi” sasa amehamishia hasira zake kwa bondia Dullah Mbabe akitaka kupambana nae baada ya kutokea kujibizana kwa maneno baina yao. Mandonga ambaye amekua maarufu nchini kutokana …