Beki wa klabu ya Yanga sc Abdalah Shaibu ‘Ninja’ ameuomba uongozi wa klabu ya Yanga sc kumruhusu kwenda kwa mkopo katika klabu ya Geita Gold Sc ambayo imeonyesha nia ya …
ninja
-
-
Mshambuliaji Benard Morrisson leo amajiunga na wachezaji wnzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa sheria jijini Dar es salaam. Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameingia katika mgogoro …
-
Beki wa zamani wa Yanga sc Abdallah Shaibu “Ninja” ameanza kucheza katika timu ya L.A gallax baada ya jana kucheza mechi ya kwanza ya kikosi cha pili cha timu hiyo …
-
Beki wa zamani wa Yanga Abdalah Shaibu “Ninja” amefanikiwa kujiunga na timu ya L.A Galaxy anayoichezea staa Zlatan Ibrahimovich ambayo inashiriki ligi kuu ya nchini Marekani. Ninja amesajiliwa na MFK …
-
Beki Abdallah Shaibu “Ninja”amesaini mkataba na timu ya klabu ya MFK Vyoskov inayoshiriki ligi daraja la tatu Jamhuri ya Czech wa miaka minne na kisha kutolewa kwa mkopo katika timu …
-
Baada ya kukamilisha usajili wa mastaa wa kigeni,Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Msomi Dk.Mshindo Msolla sasa wameamua kugeukia usajili wa mastaa wa ndani ambao mikataba yao imeisha. Timu hiyo …
-
Beki katili wa Yanga Abdalah Shaibu “Ninja” ambae mkataba wake na wanajangwani hao upo ukingoni tayari amewekewa ofa za kutosha na klabu mbalimbali sportsleo imebaini japo mpaka sasa anawasubiri waajiri …