Klabu ya Simba Sc imezidi kujisogeza kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Pamba Jiji Fc kwa mabao 5-1 katika mchezo wa ligi …
Pamba Jiji
-
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Yanga sc umewasili salama jijini Mwanza kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Pamba Jiji utakaofanyika siku ya Jumamosi Februari 28 …
-
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Sc Rally Bwalya yupo mbioni kukamilisha dili ya kujiunga na klabu ya Pamba Jijini Fc ya jijini Mwanza kwa mkataba mfupi wa …
-
Beki kisiki wa zamani wa klabu za Simba sc na Yanga sc Kelvin Patrick Yondani amejiunga na klabu ya Pamba Jiji Fc yenye makao yake jijini Mwanza ili kuongeza nguvu …
-
Klabu ya Pamba Jiji Fc imekamilisha usajili wa wachezaji wawili kwa mkopo kutoka Singida Black Stars ambao ni Habib Kyombo na Hamad Majimengi ili kujiweka sawa na kurejesha makali yake …
-
Bodi ya ligi kuu nchini imewatoza faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja klabu za Simba sc na Pamba Jiji Fc kutokana na kuvunja kanuni siku moja kabla ya mchezo …
-
Kocha wa klabu ya Pamba Jiji ya jijini Mwanza Fred Felix Minziro ameikataa penati iliyopewa klabu ya Simba Sc katika mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo uliofanyika katika …
-
Bao la penati dakika ya 23 la Lionel Ateba limeiwezesha klabu ya Simba Sc kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Klabu ya Pamba Jiji uliofanyika jioni …
-
Presha ya mchezo wa ligi kuu baina ya klabu za Pamba Jiji dhidi ya Simba Sc utakaofanyika jioni ya leo imezidi kuwa juu baada ya kutokea mvutano wakati wa mazoezi …
-
Hali imekua tete kwa klabu ya Pamba Jiji baada ya jioni ya leo kukubali kipigo cha 1-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika …