Klabu ya Juventus imesema itavunja mkataba na nyota wake raia wa Ufaransa Paul Pogba kama atafungiwa kujihusisha na soka kutokana na tuhuma zake za kutumia dawa za kusisimua misuli ambazo …
pogba
-
-
Kiungo Paul Pogba imethibitika ataondoka katika klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika ambapo inatajwa kuwa tayari yuko kwenye mazungumzo ya kujiunga na Juventus …
-
Wakala wa wachezaji maarufu Dunia Mino Raiola 54′ amefariki Dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa nyumbani kwake Roma nchini Italia. Wakala huyo maarufu duniani anawasimamia wachezaji …
-
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amerejea katika mazoezi baada ya kuwa nje kutokana na kupata maambukizi ya virusi vya Corona. Pogba ana uwezekano mkubwa wa kutocheza mchezo wa kwanza …
-
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na barcelona msimu ujao baada Mtendaji mkuu wa club ya Atletico Madrid kuthibitisha kuwa suala hilo lilishafikiwa muafaka tangu machi mwaka huu na …