Klabu ya soka ya Pyramid Fc ya nchini Misri imeendelea kumshawishi mshambuliaji Fiston Mayele kusaini mkataba mpya ili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya kuridhishwa na kiwango chake msimu huu. …
Tag:
Pyramid Fc
-
-
Mshambuliaji Fiston Mayele ameibuka mshindi wa tuzo ya mfungaji bora wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika (Cafcl) baada ya kufunga mabao sita akiwaacha Emam Ashour wa Al Ahly na …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Pyramid Fc Fiston Mayele ameivusha klabu hiyo kwenda hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika baada ya kufunga mabao mawili katika …