Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa taji la tatu la kombe la Dunia baada ya kuifunga Ufaransa kwa mikwaju ya Penati 4-2 baada ya kumaliza dakika 120 wakifungana 3-3 …
Qatar World Cup 2022
-
-
Patachimbika ndio neno linalofaa kulitumia kuelekea mchezo wa nusu fainali katika ya Ufaransa na Morocco katika michuano ya kombe la dunia linaloendelea nchini Qatar ambapo wadau wa soka duniani wamekua …
-
Timu ya Taifa ya Morroco imeishangaza dunia baada ya kufanikiwa kuwaondosha katika michuano ya kombe la dunia nchi ya Hispania kwa kuifunga mabao 3-0 katika changamoto za mikwaju ya penati …
-
Gwiji wa soka wa zamani wa Manchester united Eric Cantona ameoneshwa kukerwa na michuano ya kombe la dunia zitakazofanyika mwaka huu nchini Qatar huku akiweka wazi kuwa hatajisumbua kuitazama. Cantona …
-
Timu ya taifa ya Kenya(Harambee Stars) sasa watashiriki mchujo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar baada ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kuafikiana …