Real Madrid imefanikiwa kutwaa taji la klabu bingwa barani ulaya ikimfunga Liverpool Fc 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika uwanja wa Stadium de France uliopo St.Dennis jijini Paris Ufaransa. …
Real madrid
-
-
Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Manchester City ilioupata klabu ya Real Madrid umeiwezesha kuingia hatua ya fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya katika mchezo uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester City imeibuka na ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid mchezo wa nusu fainali ya Uefa Champions League mchezo uliofanyika katika uwanja wa Ettihad jijini Manchester. …
-
Klabu ya Chelsea imeshindwa kufuzu hatua ya nusu ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya licha ya kuibuka na ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa …
-
Mabao matatau ya Karim Benzema yalitosha kutuma salamu kwa Chelsea kujipanga katika mchezo ujao wa hatua ya marudiano jijini Madridi baada ya kuwaadhibu kwa jumla ya mabao 3-1 katika mchezo …
-
Mabao matatu ya mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema yalitosha kuwaondosha Psg katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya mchezo uliofanyika …
-
Ilibidi Psg kusubiri mpaka dakika ya mwisho ya mchezo ili kupata bao la uongozi dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya kombe la klabu bingwa …
-
Real Madrid wameendeleza ubabe dhidi ya FC Barcelona baada ya kuitungua kwa mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la super cup la Hispania uliofanyika huko Riyad Saudi …
-
Kocha wa FC Barcelona Xavi Hernandes amepata ahueni baada ya jopo la madaktari wa klabu hiyo kuwaruhusu wachezaji Ansu Fati na Ferren Torres kucheza mchezo wa leo wa nusu fainali …
-
Barcelona imekubali kipigo cha mabao 3-1 mbele ya Real madrid katika mchezo wa Laliga uliochezwa leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wao wa nyumbani wa Camp Nou. Real …