Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha …
Tag:
Robertinho
-
-
Klabu ya Simba sc imetangaza kuachana na kocha Roberto Oliveira “Robertinho” ikiwa ni siku mbili baada ya kupokea kipigo cha mabao 5-1 kutoka kwa watani zao Yanga sc katika mchezo …
-
Kocha wa klabu ya Simba sc Roberto Oliveira amerejea klabuni kutoka nchini kwao Brazil alipkwenda kwa ajili ya kushughulikia hati yake ya kusafiria sambamba na kusoma kozi ya muda mfupi …
-
Kocha wa timu ya Simba sc Roberto Oliveira amesafiri kurudi nchini kwao Brazil kwa ajili ya kushughulikia hati yake ya kusafiria baada ya iliyokuwepo kumalizika na kuzua sintofahamu miongoni mwa …