Kwa mujibu wa meneja wa mchezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere aitwaye Patrick Gakumba ni kwamba mshambuliaji huyo amegomea ofa ya kujiunga na klabu ya Levante Fc ya nchini …
rwanda
-
-
Nchi ya Rwanda imesaini mkataba na timu ya Psg ya nchini Ufaransa ili kupromoti utalii wa nchi hiyo kimataifa huku ikishirikisha mastaa wa timu hiyo kupitia kampeni ya tembelea Rwanda …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc na timu ya taifa ya Tanzania Feisal Salum “Fei toto” ameshindwa kusafiri na timu ya taifa kwenda nchini Rwanda kucheza mchezo wa kirafiki na …
-
Kocha wa timu ya Tanzania Ettiene Ndayiragije ameita kikosi cha wachezaji 28 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda oktoba 14 jijini Kigali nchini Rwanda ambapo ameendelea kuwaacha …
-
Hatimaye kiungo wa zamani wa Yanga sc na Simba sc Haruna Niyonzima amerudi nyumbani baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na klabu ya As Kigali ya nchini Rwanda. …
-
Timu ya Yanga Sc imepokea mwaliko kutoka shirikisho la soka la Afrika mashariki na kati (cecafa) kushiriki katika mashindano ya kombe la kagame kwa mwaka 2019 yatakayofanyika nchini Rwanda. Katika …